SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua kampeni ya Bureee Kabisaaa inayolenga kuwawezesha wateja kupata huduma za intaneti ya nyumbani, simu ya mezani, ruta, laini tatu za simu za mkononi…