Rais wa Jamhuri ya Angola, Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu inayolenga kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na Angola. Rais Lou…